Monday, 13 April 2015

HABARI

#‎HABARI‬ MIILI YA WALIOKUFA AJALINI YAZIKWA KWA PAMOJA
Miili ya watu 15 kati ya 19 waliopoteza maisha katika ajali ya basi na lori mkoani Morogoro imezikwa leo katika makaburi ya Pamoja ya Msanvu wilayani Kilosa mkoani humo.
Akizungumza kwa niaba ya serikali ya mkuu wa wilaya ya Kilosa John Henjewele amesema serikali imewalazimu kufanya mazishi ya pamoja ya watu waliofariki kwenye ajali hiyo ambao miili yao haijatambulika.
East Africa Television (EATV)'s photo.

East Africa Television (EATV)'s photo.
East Africa Television (EATV)'s photo.
East Africa Television (EATV)'s photo.

No comments:

Post a Comment